The House of Favourite Newspapers

MAUA SAMA AKANA KUTUMIA NDUMBA

Image result for MAUA SAMA
Maua Sama

STAA wa Muziki wa Bongo Fleva, Maua Sama amekanusha madai ya kutumia uchawi ‘ndumba’ kwenye wimbo wake wa Iokote na kusema kuwa ni Mungu tu ndiyo aliyomuongoza. Akipiga stori na Showbiz Xtra, Maua alisema anachoamini siku zote kwenye maisha yake kuwa wakati wa Mungu ndio sahihi siku zote hivyo mpaka wimbo wake huo unatokea kupendwa hivyo ni kwamba amewapa mashabiki wake wanachotaka.

“Unajua mtu mwingine anaweza kujua ni uchawi kumbe sio kabisa ni muda sasa wa Mungu ameamua kukurudisha kwa kasi kwa mashabiki wako na hicho ndio kitu muhimu sana,” alisema Maua.

IMELDA MTEMA

Comments are closed.