Mauno ya Amber Lulu Kigoma ‘Awatoa Udenda Wanaume’ – Video

 

Msanii wa Bongo Fleva nchini, Lulu Euggen ‘Amber Lulu’  usiku wa kuamkia leo amefanya shoo ya aina yake katika shoo ya kuadhimisha miaka kumi ya mwanamuziki Diamond Platnumz kwenye muziki ambayo hafla yake imefanyika nyumbani kwao mkoani Kigoma.

Toa comment