Mazishi ya Kijana Aliyepigwa Risasi na Polisi, Vilio Vyatawala! – VIDEO

Mwili wa Kijana Richard Peter Lombo (29) anayedaiwa kuuawa kwa kupigwa Risasi na Askari Polisi ndani ya Kituo cha Polisi Usariva Mkoani Arusha umezikwa leo Februari 12, 2019.

Toa comment