MAZISHI YA MAMA GWAJIMA YAACHA HISTORIA – VIDEO

HATIMAYE mama mzazi wa Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, Bi. Ruth Paulo Gwajima ameagwa na kuzikwa leo Salasala jijini Dar, ambapo msiba wake umeacha historia kwa kuhudhuriwa na umati mkubwa ikiwa ni pamoja na waombolezaji kuzuiwa kulia kwa kile kilichoitwa “shujaa amerudi nyumbani…”

VIDEO: SHUHUDIA TUKIO HILO HAPA

Toa comment