Mazishi ya Mama wa Meja Kunta Yafanyika Yombo Dovya Dar – (Video+Picha)
MAZISHI ya mama wa msanii maarufu wa muziki wa Singeli nchini, Meja Kunta, yamefanyika leo, Aprili 14, 2025 katika Makaburi ya Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam.
Wasanii mbalimbali wamejumuika kwenye shughuli ya kwenda kumpumzisha kwenye nyumba yake ya milele, mama wa msanii wa Muziki wa Singeli, Meja Kunta.