The House of Favourite Newspapers

Mazishi ya Mtanzania Nemes Tarimo Aliyeuawa Vitani Ukraine Yafanyika Kijijini Kwao -(Picha +Video)

0

MAZISHI ya Raia wa Tanzania, Nemes Tarimo aliyefia vitani Ukraine yamefanyika kijijini kwao katika wilaya ya Tukuyu Nyada za juu kusini kwa ajili ya mazishi yake.

Nemes Tarimo alienda nchini Urusi kwa ajili ya masomo ya juu kabla ya kupatwa na umauti wake.


Breaking: Mwili Wa Mtanzania Aliyefia Vitani Ukraine Wawasili Dar Ukitokea Urusi -Video

Leave A Reply