Mazito! Rayvanny Kumchana Harmo, Mambo Yawa Mazito – Video

Katika kipindi cha ‘HOTPOT’ Wajuzi wa mambo wamedadavua ishu ya Mwanamuziki, Rayvanny, kumchana mwanamuziki mwenziye Harmonize, kwa madai ya kwamba amemtaka kimapenzi mtoto wa mpenzi wake Kajala, anayefahamika kwa jina la Paula, yaani kwa kifupi ametaka kula Kuku na Mayai yake.

