The House of Favourite Newspapers

MBOSSO Afunguka Ndoa ya DIAMOND, Kushikwa Sehemu Nyeti – VIDEO

HIT MAKER wa ngoma ya Tamu, Mbosso, amesema hakutarajia kama Basata ingetoa msamaha kwa Bosi wake Diamond Platnumz na Rayvanny, ndani ya muda mfupi hivyo.

Mbosso pia amezungumzia suala la Ndoa ya Bosi wake huyo na Mpenzi wake mpya kutoka Kenya Tanasha Donna, ambayo inasemekana itafanyika Siku ya wapendanao Februari 14.

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Comments are closed.