Mbosso Amekuletea Zawadi Ya Sikukuu ‘Tamu’ Wimbo Mpya

 

Msanii toka WCB, ‘Mbosso’ ameleta wimbo wake mpya ‘Tamu’ kama zawadi na funga mwaka 2018.

 

Kupitia akaunti yake ya instagram amewaandikia shabiki zake, “Kwa heshima na taadhima, naomba mupokee zawadi yangu hii ya X- Mass na iwabembeleze hadi kufunga Mwaka 2018 na tuukaribishe vizuri mwaka 2019 …”

 

Wimbo umetengenezwa na Lizer Classic toka Wasafi Records.Download chini kabisa kama umeipenda

 

 

Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa,  ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Itazame hapa.

 

 

DOWNLOAD AUDIO|MP3


Loading...

Toa comment