The House of Favourite Newspapers

Mbosso – Kunguru (Official Audio)

Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Mbwana Yusuf Kilungi maarufu kama Mbosso Mei 18, 2024 ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la ‘Kunguru’.