MBOWE Afikishwa Mahakamani, Arudishwa GEREZANI! – Video

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendelea (CHADEMA), Freeman Mbowe, amefikishwa Mahakamani tena Desemba 06, 2018, kusikiliza shauri lake la kupinga kufutiwa dhamana.

Kesi hiyo imesogezwa mbele mpaka Desemba 21, mwezi huu na Kiongozi huyo amerudishwa rumande.

Toa comment