Kartra

Mbowe Afikishwa Mahakamani, Sugu, Zitto Watia Timu – Video

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Haikael Mbowe leo Septemba 15, 2021, amefikishwa katika Mahakama ya Kuu Kanda ya Dar es Salaam DIVISION ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi kusikiliza kesi inayomkabili yeye pamoja na wenzake watatu ambao wote wanakabiliwa na makosa ya uhujumu uchumi na makosa ugaidi.


Toa comment