Mbowe Aomba Saa 48 Atoe Maamuzi ‘Sitaki Kwenda Kwenye Vita Ya Kukipasua Chama’ – Video
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe amefunguka na kueleza kuwa apewe saa 48 kwa ajili ya kutoa uamuzi kama atagombea uenyekiti wa Chadema au hatagombea.
Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea uhabarike kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.