The House of Favourite Newspapers

MBOWE BAADA YA KUACHIWA: Nimeyaona Mengi Gerezani – Video

MAHAKAMANI KISUTU: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na viongozi wenzake sita wa chama hicho wameachiwa kwa dhamana leo. Viongozi hao wanakabiliwa na mashtaka manane yakiwemo ya kuhamasisha chuki, uasi na maandamano yaliyosababisha kifo cha Akwilina Akwilini Feb 16, 2018.

 

Baada ya kuachiwa, mbowe amesema wameyaona mengi gerezani ikiwemo watuhumiwa zaidi ya 2,000 ambao amedai wamecheleweshewa haki zao.

Aidha, amefunguka kuwa, chama chao kitazungumza kuhusu mwenendo wa kesi yao na mambo ambayo wameyaona katika mahabusu za Segerea.

Comments are closed.