Mbowe na Lissu Wakutana kwenye kikao cha Kamati Kuu Chadema – Picha
Viongozi mbalimbali wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), leo Januari 10, 2025 wamekutana kwenye kikao cha Kamati Kuu kinachofanyika makao makuu ya chama, Mikocheni jijini Dar es Salaam.