MBUNGE ALIPUKA: Polisi Walituteka, Ni Mpaka Damu Imwagike? – Video
Share
Mbunge wa Serengeti, Rioba Chacha ameuliza swali Bungeni leo kuhusu Uhuru wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na wasimamizi wa Uchaguzi ambao ni wakurugenzi wa Halmashauri ambapo kwa mujibu wa sheria za nchi hawatakiwi kuwa wanavyama vyama vya siasa.
Global Publishers and General Enterprises Limited is a registered private company dealing in publishing of weekly Swahili newspapers in Tanzania, namely; Uwazi, Ijumaa, Championi, Amani, Risasi & Ijumaa Wikienda.
Comments are closed.