The House of Favourite Newspapers

ads

Mbunge Atimuliwa Bungeni kwa Kutohudhuria vikao vya Bunge Tangu Achaguliwe

0

MBUNGE wa bunge la seneti nchini Japan ametimuliwa kazini baada ya kutohudhuria kikao chochote cha bunge kwa mieza saba.

Mwanaume huyo ambaye ni maarufu sana katika mtandao wa You Tube – amekuwa mbunge wa kwanza kufutwa kazi bila kuwahi hata siku moja kuingia bungeni tangu achaguliwe

Maseneta walimfuta kazi Seneta Yoshikazu Higashitani Jumanne kwa kutohudhuria vikao vya bunge.

Tangu achaguliwe miezi saba iloyopita, hajawahi kuhudhuria hata kikao kimoja cha bunge.

 

Leave A Reply