Mbunge Gekul – “Waliunda Genge La Maadui Zangu Kisiasa”-Video
Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul amefunguka kuhusu tuhuma zilizokuwa zinamkabili za kumshambulia na kumdhuru kijana Hashim Ally na kueleza kwa upande wake kuhusu tukio hilo lililozua gumzo kubwa lilivyokuwa.