The House of Favourite Newspapers

Mbunge Matiko na Wenzake Waachiwa kwa Dhamana

MBUNGE wa Jimbo la Tarime Mjini (Chadema), Ester Matiko, mwandishi wa habari wa Gazeti la Tanzania Daima, Sitta Tuma na wanachama zaidi ya 15 waliokuwa wanashikiliwa na Polisi Wilayani Tarime wameachiwa kwa dhamana leo Agosti 9, 2018.

Mbunge huyo pamoja na wanachama hao walikamatwa jana walipokuwa kwenye mkutano wa kampeni za udiwani katika Kata ya Turwa wilayani Tarime.

Comments are closed.