The House of Favourite Newspapers

Mbunge: Mnasema POLISI Ugonjwa wa KANSA, Hamjalala Kwenye Handaki Nyie – Video

MBUNGE wa viti Maalum kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Anna Mwakilagi ameishauri serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango kuhakikisha wanaitengea bajeti ya kutosha Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi kwani ni wizara nyeti iliyobeba usalama wa maisha ya Watanzania wote.

VIDEO: MSIKIE MWAKILAGI AKIFUNGUKA

Comments are closed.