The House of Favourite Newspapers

Mbunge Musukuma Amvaa Dkt Bashiru, Afichua Madudu Yake – ”Aombe Radhi” -Video

0

Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku ‘Musukuma’ amemtaka Dr. Bashiru Ally Kakurwa, kujitokeza hadharani na kuomba msamaha kwa kauli alizozitoa hivi karibuni.

Video zinazosambaa mitandaoni, zinamuonesha Dk. Bashiru akihutubia katika Mkutano wa Vikundi vya Wakulima Tanzania (Mviwata) ambapo anasikika akitoa matamshi yasiyofaa dhidi ya serikali iliyopo madarakani.

Leave A Reply