
Waandishi wa habari kutoka Mkoa wa Iringa waliokuwa Bungeni kufuatilia hotuba ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Tknolojia ya Habari, Nape Nnauye ya makadirio ya Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka 2023/2024 walipata fursa ya kupiga picha ya pamoja na Mbunge wa Jimbo la Buchosa Mkoani Mwanza Mh. Eric James Shigongo mara baada kusomwa kwa bajeti ya wizara hiyo katika viunga vya Bunge Jijini Dodoma.