The House of Favourite Newspapers

Shigongo: Bilioni 62 Zimeleta Maendeleo ndani ya Jimbo la Buchosa – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo Jana Julai 9, 2024 amehitimisha ziara yake katika kata ya Bupandwa kwa kusikiliza kero mbalimbali zinazowakabili wananchi wa Buchosa.

Shigongo ameeleza kuwa zaidi ya Bilioni 62 zimekwisha tumika katika kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ndani ya Jimbo la Buchosa.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by globalpublishers (@globaltvonline)