The House of Favourite Newspapers
gunners X

Mbunge Tanzania Aambukizwa Corona – Video

0

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tulia Ackson amesema kuwa mmoja wa Wabunge wa Bunge hilo, amethibitika kuwa ana maambukizi ya Virusi vya Corona.

 

“Tumepata taarifa kuwa mmoja wetu amepata maambukizi ya #COVIDー19. Mgonjwa huyo anaendelea vizuri na serikali inaendelea kumuangalia na kumpatia matibabu stahiki, na maelezo ya mbunge huyo alisafiri kwenda Dar es Salaam siku za hivi karibuni,” Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson

Leave A Reply