The House of Favourite Newspapers

MC Pilipili Afunguka MO J Kumtongoza Mchumba Ake! – VIDEO

KUFUATIA kusambaa kwa ubuyu mitandaoni  unaodai kuwa Mzazi Mwenza na Gigy Money, Mo J anamtumia meseji za kumtongoza Mchumba wa MC Pilipili ambaye juzi tu amemwaga machozi akimvalisha pete.

Global TV imemtafuta MC pilipili na kumuuliza kuhusiana na sakata hilo.

Comments are closed.