Mchakamchaka wa Disemba EPL Kumenoga!!

Liverpool kuwakaribisha Tottenham Hotspurs pale Anfield.

Patashika – nguo kuchanika katika muendelezo wa EPL leo usiku. Bingwa mtetezi – Liverpool uso kwa uso na vinara wa EPL kwa sasa – Tottenham Hotspurs.

 

Licha ya kwamba Jurgen Klopp ana idadi kubwa ya majeruhi kwenye kikosi chake, bado Liverpoolwanaubora kuzidi timu nyingi za EPL wakiwa wanapointi sawa na Tottenham ila wamepishana kwa idadi ya magoli.

 

Liverpool na Tottenham wanashika nafasi ya 2 za juu wakiwa na jumla ya pointi 25 baada ya michezo 12. Mfumo wa kiuchezaji wa timu hizi unautofauti mkubwa. Liverpool wanashambulia zaidi wakati ambapo Tottenham wanajihami zaidi, huu ndio mfumo wa Jose Mourinho.

 

Takwimu zinaonesha kuwa Liverpool na Tottenham wameshakutana mara 175. Liverpool ameshinda mara 85, amepoteza mara 48 na wametoka sare mara 42.

 

Katika michezo 5 ya mwisho, Liverpool hajapoteza mchezo wowote dhidi ya Tottenham Hotspurs – ameshinda michezo yote. Hali itakuwaje  pale Anfield? Ubabe wa Liverpool utaendelea au Spurs atakataa utumwa?

 

Wataalamu wa Meridian wamekuweka odds za kibingwa. Ushindi kwa Liverpool umepewa odds ya 1.86, ushindi kwa Tottenham unaodds ya 4.01  wakati matokeo ya sare yamepewa odds ya 3.62.

 

Kama ilivyokawaida, mashindano yakiwa yanaendelea kwenye EPL, duka la Meridian bet ni sehemu utakayoweza kufuatilia kila kinachoendelea. Unaweza kujionea odds za michezo mingine inayoendelea kwenye wiki ya 13 ya EPL kwa kubofya hapa.

 

Jisajili na Meridiabet hapa na furaha yako itaanzia hapo. Pakua App ya Meridianbet kwenye simu yako na uanze kubashiri kwa uhuru nyumbani kwako. Pia, unaweza kuweka pesa kwenye akaunti yako kupitia KwikPay, M-PESA au Airtel Money. Kumbuka, daima hauwezi kupoteza tiketi yako ya kwanza ukiwa na Meridianbet, tuna Bonasi ya 100% inakusubiri.

Meridian – Nyumba yenye odds bora na bonasi kubwa!Tecno


Toa comment