Mchekeshaji Eric Omondi Amuigiza Rais Donald Trump

Eric Omondi (kulia) mwenye Tai nyekundu akieleza jambo kama Rais Trump wa Marekani.

Na SALUM MILONGO/GPL

MCHEKESHAJI kutoka Kenya, Eric Omondi, katika projeti yake ya kuchekesha maarufu kama ‘How To Be’, amemuigiza Rais wa Marekani, Donald Trump, wakati alipokuwa akigombea urais wa Marekani.

Video hiyo imemwonyesha Omondi akifanya vituko vya Trump wakati akiomba kura kwa Wamarekani akionekana kuwa mtu jeuri na mwenye kujiamini kupita kiasi wakati wa kinyang`anyiro hicho.

Stori zinazo husiana na ulizosoma

Toa comment