The House of Favourite Newspapers

Mchumba Wangu Alitembea na Mwanaume Mwingine Siku Moja Kabla ya Ndoa Yetu

0

Huku Tanga nilikutana na msichana mmoja mrembo na kumpenda sana, alikuwa na umbo zuri la kuvutia sana, mwenyewe nilimpenda sana kutokana uchangamfu wake na utendaji kazi wake.

Alikubali kuwa mke wangu lakini kwa sharti moja tu, nalo ni kufunga ndoa kanisani na kufanya harusi ambayo itakuwa na wageni mbalimbali, aliniambia endapo tutafunga ndoa kanisani basi tutupata baraka kutoka Mwenyezi Mungu, basi tulianza mikakati ya harusi yetu.

Niliwafahamisha wazazi wangu kwamba maisha ya kuishi pekee yangu yamenichosha na tayari nina mchumba, Anne alinitambulisha kwa wazazi wake nami nikamtambulisha kwa wazazi wangu kama mchumba wangu.

Kwa vile nilikuwa na upendo na mke wangu mtarajiwa, niliona ni vizuri niwatembelee African Doctors baada ya rafiki yangu mmoja kuniambia wanaweza kumkinga mpenzi wangu na wanaume ambao wanamtamani kimapenzi.

African Doctors walinifanyia dawa na kunihakikisha hakuna mwanaume ambaye angemgusa mke wangu, yoyote atayejaribu lazima nimkamate.

Tuliendelea na maandalizi ya harusi yetu,  siku moja kabla ya harusi, Anne alisema anaenda mjini, nami nikampa ruhusa, lakini baadaye nilimfuata nyuma ili nijue alipoenda.

Aliingia kwenye chumba kimoja cha kulala mjini akiwa na mwanaume mmoja ambaye ni jitu la miraba minne, endapo nikajaribu kuwasogelea basi ningeweza kupata kipigo kikali sana.

Nikiwa katika eneo lile nilisikia mwanaume akilia kwa uchungu mkali sana, kumbe alikuwa amenasa wakati wakifanya mapenzi, ndipo nikakumbuka kuwa African Doctors alikuwa amemfunga mpenzi wangu.

Baadaye nilielekea katika Ofisi ya Meneja wa Hoteli na akaniruhusu kuingia mule ndani walipokuwa wamekwama kwani nilimwambia nilikuwa najua jinsi ya kuwatoa. Nilimpigia simu African Doctors na yeye akatoa maelekezo jinsi gani ya kufanya ikiwa ni pamoja na jamaa yule kulipa Tsh. Milioni 1.

Mke wangu mtarajiwa alikuwa mwenye aibu sana na tuliporejea nyumbani aliomba msamaha na nilimsamehe ili ilibidi tusogeze mbele harusi hadi mwaka uliofuatia ambapo tulifanya harusi ya kufana. Tangu kisa kile, mimi na mke wangu tuliishi kwa amani na kwa uaminifu mkubwa.

Kumbuka African Doctors wana uwezo wa kumaliza majini na ndoto zinazokukosesha usingizi, pia wanasuluhisha mizozo ya kimapenzi kama ilivyokuwa kwangu, vile vile wanatibu magonjwa kama vile kifafa na kifaduro kwa muda wa siku tatu pekee.

Wasiliana na African Doctors kwa namba; +254 769 404965, tembelea tovuti yao; www.african-doctors.com au watumie email; [email protected].

Leave A Reply