The House of Favourite Newspapers

‘Mchungaji’ Akamatwa na Madawa ya Kulevya Dar – Videos

MTU Mmoja, raia wa Latvia, Linda Mazule, amekamatwa leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) akiwa na dawa za kulevya aina ya ‘heroin’ zenye uzito wa kilo tano.

Polisi DSM ‘ILIVYOWANASA’ Watu Watatu Wakisafirisha Madawa! 

Kituo cha kupambana na Dawa za Kulevya nchini kimesema mtu huyo aliyejifanya  mchungaji, alitiwa mbaroni kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi.

JAMAA Aliyejifanya ‘MCHUNGAJI’ Alivyokamatwa na Madawa DAR!

Comments are closed.