The House of Favourite Newspapers

Mchungaji Kimario Arejea KKKT Kijitonyama, Shangwe Zatawala Kanisa Zima…. -Video

0

Shangwe na nderemo vimetawala katika Kanisa la KKKT Usharika wa Kijitonyama wakati wa ibada ya asubuhi (morning Glory) baada ya mchungaji, Dk. Eliona Kimaro kurudi kutoka likizo aliyopewa.

Usiku wa Januari 16, 2023 ilisambaa video ikimuonyesha mchungaji Kimaro akiwaeleza waumini wake kuwa amepewa likizo ya siku 60 baada ya kuitwa katika ofisi ya msaidizi wa askofu na kufanya kikao na mkuu wa jimbo. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply