The House of Favourite Newspapers

Mdee Avuruga Bunge, Awaita ‘Manjuka’ Slaa, Kunambi Wamvaa – Video

0

Mbunge wa Mlimba, Godwin Kunambi amemuonya Mbunge, Halima Mdee kuacha kuwaita wabunge wapya ‘njuka’ kwa lugha za kejeli. Kunambi ametoa onyo hilo leo Aprili 12, bungeni jijini Dodoma wakati akichagia bungeni.

 

 

“Mheshimiwa Spika naomba nimalizie kwa jambo hili moja, Mheshimiwa Halima Mdee amezungumzia jambo ambalo naomba Mungu anisamehe na roho mtakatifu anishukie, kwanza nianze la lugha za kejeli, lugha za kuudhi, na site wengine ni Vijana pia, na bado hata umri wa busara haujafika, tuna hofu sana, tunasihi.

 

 

“Aaamcje lugha za kejeli ndani ya Bunge Hili, namuaonya tu hamna njuka hapa, njuka maana yake nini? Lugha za kuudhi nakuonya,” amesema Kunambi.

 

Leave A Reply