Mdee, Bulaya, Meya Jacob Wafikishwa Mahakamani – Video

WABUNGE watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema): Halima Mdee (Kawe), Ester Bulaya (Bunda Mjini) na Jesca Kishoa (Viti Maalumu) pamoja na Meya wa Ubungo, Boniface Jacob, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Jumatatu, Machi 23, 2020.

 

Wengine ni Henry Kileo, viongozi na wafuasi wengine wa chama hicho ambao kwa pamoja wanadaiwa kufanya fujo katika Magereza ya Segerea wakati walipiokwenda kumpokea Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe.

 
Toa comment