BurudaniHabari Melody Walivyoanza Kufagia Uwanja Kabla ya Kumpisha Mzee Yusuf Dar Live Last updated Sep 26, 2020 0 Share Kundi la East African Melody usiku huu lilifanya makamuzi si mchezo kabla ya kumpisha Mzee Yusuf ‘Mfalme’ kwenye onesho ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live. Kama kawa onesho hilo lilihudhuriwa na nyomi la mashabiki. East African Melody wakifanya yao. Asia Shebe akikamua. Mmoja wa mashabiki akifuatilia onesho la Melody huku akibembea. Mwanahawa Chipolopolo akiwajibika. Muimbaji mkongwe wa Kundi la East African Melody, Ramla Seif akiwa kikazi zaidi. HABARI/PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS /GPL 0 Share