The House of Favourite Newspapers

Meneja Simba Afungiwa Kujihusisha na Soka, Faini Milioni 4 – Video

KAMATI ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imemfungia mwaka mmoja kujihusisha na masuala ya soka, Meneja wa Klabu ya Simbaa, Richard Robert baada ya kukutwa na hatia ya makosa wawili ya kuihujumu Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars na kutotii maagizo ya viongozi wa TFF na Simba.

 

Richard ambaye amefungiwa kujihusisha na masuala ya soka kwa ndani na nje ya nchi pamoja na kupigwa faini pia ya Tsh. Milioni 4, anakabiliwa na makosa ya kutowapa taarifa ya kwenda Kambini wachezaji walioitwa kwenye Kikosi cha Timu ya Taifa.

VIDEO: FUATILIA TUKIO HILO HAPA

Comments are closed.