The House of Favourite Newspapers

MENINAH: KULEA KUMENIPOTEZA

Meninah Atik

I AM back! Msanii wa kike wa Bongo Fleva ambaye ni zao la BSS 2012, Meninah Atik amesema alikuwa kimya kwa muda mrefu kutokana na kulea ambapo kwa sasa mwanaye ana umri wa mwaka mmoja hivyo anarudi kwenye gemu.  Akizungumza na Over Ze Weekend, Meninah alisema kwenye ulezi kuna mambo mengi hivyo ilikuwa lazima atulie ili amlee mtoto kwanza.Image result for MENINAH

“Ulezi una kazi sana hivyo niliamua kulea kwanza, lakini mpaka sasa niko vizuri siku si nyingi mashabiki wangu watanisikia tena kama kawaida,” alisema Meninah.

STORI: IMELDA MTEMA, DAR

Comments are closed.