Mercy Aigbe ampaisha mumewe kwa miaka 50

mercy-aigbe-husband-robbSTAA wa filamu anayetikisa Nollywood, Mercy Aigbe hivi karibuni alitumia mtandao wake wa kijamii  katika kusherehekea mumewe kutimiza miaka 50 ya kuzaliwa kwake.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Mercy mwenye miaka 36, aliandika maneno ‘amazing’ kwenda kwa kipenzi chake huyo na sababu zilinazomfanya kumpenda zaidi.

“Kipenzi changu cha roho leo kinaongeza mwaka mmoja mwingine! Heri ya kuzaliwa baba yangu J wa maisha yangu, chanzo changu cha kuwa mkakamavu, mshauri wangu, mpenzi wangu na rafiki yangu wa karibu.”

Loading...

Toa comment