The House of Favourite Newspapers

Mercy Johnson Atamani Kuolewa Tena!

0
Mercy Johnson.

MKONGWE kutoka kiwanda cha filamu, Nollwood, Mercy Johnson ameweka wazi hisia zake kwa mumewe, Prince Okojie kuwa anatamani kuolewa kwa mara nyingine.

Kupitia mitandao ya kijamii, Mercy alimuanika Prince na kusifia penzi lao na watoto waliowazaa huku akiweka hisia zake za kutamani kuolewa upya jambo ambalo lilimfanya Prince amkubalie ombi lake.

“Natamani kuolewa tena…niahidi mume wangu utanikubalia?” Aliandika Mercy na baada ya muda mfupi Prince alimjibu;
“Nitakubali!” Mercy na Prince walifunga ndoa mwaka 2011 na kufanikiwa kupata watoto watatu.

Leave A Reply