The House of Favourite Newspapers

Meridianbet Yahamia kwa Kina Mama Wanaojishughulisha na Mama Ntilie

0

Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii https://a.meridianbet.co.tz/c/7p1fiy

Meridianbet inazidi kujipambanua kila iitwayo siku na kuwafikia watu wenye uhitaji mbalimbali wakiwemo Boda boda, walemavu, wachezaji na wengine wengi na sasa ni zamu ya Mama Ntilie wa Kariakoo na Manzese ambao waliweza kupatiwa aprons.

Usafi ni muhimu kwenye kila kitu hasa katika uandaaji wa chakula, ambapo leo hii Mama Ntilie wa Kariakoo na Manzese walipata baraka ya kutembelewa na Meridianbet ambayo inajihusisha na Ubashiri na kupatiwa Aprsons zitakazowasaidia kwenye kuandaa chakula katika hali ya usafi.

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

 

Na kuhakiksha hilo halitokei kwa wakazi wa Kariakoo na Manzese, Meridianbet ikiongozwa na Mkuu wa kitengo cha mawasiliano ndugu, Martina Nkurlu walifika maeneo hayo na kusema kuwa; “ Aprons hizo zitawasaidia Mama Ntilie kuandaa chakula chao katika hali ya usafi na usalama”.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Baada ya kupokea Aprons hizo, mmoja kati ya Mama Ntilie ambaye ni mama John amesema kuwa anawashukuru Meridianbet kwa kuwafikia nakuwaletea Aprons hizo kwani uhitaji ulikuwa ni mkubwa sana kwao lakini pia waendelee hivyo hivyo kuwafikia wananchi wote wenye uhitaji.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

Leave A Reply