The House of Favourite Newspapers

Meridianbet Yaibukia Kijitonyama Kutoa Msaada

Hatimae wakazi wa Kijitonyama jijini Dar-es-salam wamefikiwa na kampuni bingwa kabisa ya michezo ya kubashiri ya Meridianbet na hiyo ni baada ya kampuni hiyo kutoa msaada wa vifaa vya michezo kwa timu ya Power Magic inayopatikana eneo hilo.

Meridianbet walitoa vifaa vya michezo kama mipira na jezi kwa timu ya Power Magic ya Kijitonyama mtaa unaofahamika kama Ali Maua B katika kuhakikisha wanaendeleza desturi yao ya kurudisha kwenye jamii yao inayowazunguka mara kwa mara.

Hii sio mara ya kwanza kwa Meridianbet kutoa msaada wa vifaa vya michezo kwa timu ya mpira wa miguu ifahamike kua lengo la kampuni hiyo ni kuhakikisha wanaunga mkono juhudi za serikali za kuinua michezo, Kwani michezo ni ajira ambayo inawalipa watu wengi kwasasa.

Ukiwa na Meridianbet rahisi kujinyakulia kitita cha pesa kwani  kuna michezo ya kasino kama vile, Aviator, poker, Roullete, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao ya kupiga pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Mkuu wa kitengo cha mawasiliano na masoko kutoka Meridianbet Nancy Igram ambae ndio mratibu wa zoezi zima la ugawaji wa vifaa vya michezo kwa timu ya Magic Power alisema “Kwanza kabisa napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa uongozi wa timu ya Magic Power, Lakini pia nipende kusema nafurahi kuwepo hapa na kutoa vifaa hivi vya michezo kwakua najua vitakua chachu ya kuibua vipaji ambavyo vitakua msaada kwa taifa siku zijazo Asanteni sana

 

NB: Habari njema kwako,Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 200,000,000/= PIGA *149*10#

Tofauti na mkuu wa kitengo na mawasiliano kutoka Meridianbet kuzungumza lakini Kiongozi wa timu ya Magic Power alipata nafasi ya kuzungumza na kutoa shukrani zake “Kiukweli napenda kuwashukuru sana sana kampuni ya Meridianbet kwa kuja hapo na kutusaidia vifaa vya michezo kwa timu yetu, Kwani hii itasaidia kuleta motisha kwa vijana wetu kucheza mpira na mwisho nitoe wito kwa makampuni mengine wajitahidi kukumbuka jamii zao kama wafanyavyo Meridianbet”

Meridianbet inakupatia machaguo mengi zaidi ya 1000, ODDS Kubwa na kile ambacho unakitaka ndio maana kaulimbiu yao inasema kuwa, “Meridianbet, Msimu Mpya Mzigo wa Kutosha”. Kama bado hujajisajili na Meridianbet muda ndio ingia www.meridianbet.co.tz uanze kucheza michezo mbalimbali ya kasino pamoja na kubashiri mechi.