Meridianbet Yasimama Kidete Kuadhimisha Kupinga Ukatili Dhidi ya Wanawake
Pinga ukatili dhidi ya wanawake na wasichana.
Meridianbet inasisitiza kwa kila mtu kutambua kuwa wanawake ni nguzo muhimu katika jamii na wanahitaji kutendewa kwa heshima na utu wao. Hivyo basi, “Pinga Ukatili, Simama na Mwanamke“ si tu kauli mbiu, bali ni mwito wa kila mmoja wetu kuchukua hatua madhubuti ili kuhakikisha wanawake wanapata haki zao, usawa, na ulinzi katika jamii yetu.