The House of Favourite Newspapers

Meridianbet Yatangaza Promosheni Mpya: Cheza Aviator Ushinde Samsung A25!

Mabingwa wa michezo ya ubashiri nchini Tanzania, Meridianbet, wamekuja na kubwa kuliko kwa wateja wake. Kupitia mchezo pendwa wa Aviator, sasa wachezaji watakua na nafasi ya kujishindia simu mpya za kisasa aina ya Samsung A25 kupitia ushiriki wao kwenye mchezo huo.

Yaani unapata nafasi ya kujishindia simu mpya na ya kisasa huku ukiendelea kuingiza faida ya pesa kila unapokua mchezoni. Hii ni zaidi ya promosheni kutoka meridianbet kwenda kwa wateja wake.

Kama ilivyo kawaida, mchezo wa Aviator unahusisha urushaji wa ndege ampabo dau lako linaongezeka kila ndege inavyozidi kupaa juu na kuongeza ukubwa na wingi wa odds, huku siri ya ushindi ikiwa ni kutoa pesa (withdraw) kabla ya ndege hiyo kulipuka.

Mchezo huu ni burudani sana kwani unapata msisimko wa kuwa rubani kwa kupaisha ndege huku ukiingiza pesa kwa dau lako kujizidisha mara idadi ya odds zilizopo lakini sasa ili kukupa burudani zaidi, suala la simu limeongezeka hivyo kufanya msisimko kuwa mkubwa zaidi kwa wachezaji kwani sasa wana uwezekano wa kujishindia simu kali kabisa bila kuingia gharama za ziada kabisa.

NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Promosheni hii maalum imeanza rasmi tarehe 1 Julai 2025 na itamalizika tarehe 31 Julai 2025. Ni kipindi cha kipekee ambapo wateja wa Meridianbet wana nafasi ya kujishindia zawadi murua kila wiki. Ofa hii inapatikana kwa wateja wote waliopo na waliojisajili kupitia tovuti rasmi ya meridianbet.co.tz pamoja na kupitia programu ya simu ya Meridianbet.

Kama sehemu ya promosheni, Meridianbet itatoa simu mbili mpya kila Jumatatu kwa washindi waliopatikana kwa kuzingatia masharti yaliyowekwa. Hii ni fursa ya kipekee kwa wachezaji kupata zawadi ya thamani kila wiki.

Kwa kujisajili kwenye Meridianbet, mteja atakuwa amekubali rasmi vigezo na masharti ya promosheni hii. Hii inamaanisha kuwa ushiriki wako ni wa hiari na umeidhinisha kufuata miongozo ya promosheni wakati wote. Meridianbet inahifadhi haki ya kubadilisha masharti ya promosheni hii au hata kuisitisha kabisa wakati wowote, iwapo kutakuwa na sababu za msingi zinazohitaji kufanya hivyo.

Jisajili sasa na meridianbet, shiriki mchezo pendwa wa Aviator na uwe sehemu ya washindi wakubwa wa zawadi hii ya thamani ya Samsung A25.