Meridianbet Yatoa Msaada kwa T.Z.K FC
Kama ilivyo kawaida jambo ni lile lile kurejesha kwa jamii kile kidogo kinachopatikana, ambapo Meridianbet wakiongozwa na timu nzima ya kitengo cha Masoko, waliwafikia wachezaji wa timu ya T.Z.K FC na kuwapatia jezi, mipira na mipira.
Michezo ni furaha, ni burudani, hujenga miili lakini ukiacha hayo yote michezo ni ajira. Vijana wengi hasa Tanzania wamepata ajira kupitia michezo na kusaidia kuendesha maisha yao ya kila siku na kusaidia familia zao, lakini wengine huweza hata kutoka nje ya mipaka ya Tanzania kwaajili ya michezo pekee.
T.Z.K FC ya Singida wakati huu ilifikiwa na kampuni hiyo kubwa nchini inayojulikana kwa kutoa ODDS KUBWA na kuweza kupata msaada wa vifaa vya michezo ambavyo vitawasaidia kwenye mechi mbalimbali watakazokuwa wanacheza.
Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii
Baada ya kutoa vifaa hivyo Afisa Masoko Matina Nkurlu alitoa wosia kwa vijana hao kukaza buti kwenye vipaji ambavyo wanavyo kwani ipo siku watafika mahali ambapo walikuwa wakihitaji kufika hata kama sio leo basi kesho kikubwa nidhamu na bidii ndio inahitajika.
Nao T.Z.K FC baada ya kupokea vifaa hivyo vya michezo walishukuru sana na kusema kuwa jambo la Meridianbet kufika pale na kuwapelekea vifaa vya michezo ni neema sana kwao hivyo watazidi kufanya jitihada kwenye michezo kwani sasa wamepata vitu ambavyo walivihitaji.
Pia Meridianbet imeleta mchongo wa hela kila siku. Kuna hii bonasi ya ukaribisho kwa wateja wapya wote wanapata Tsh 25,000/= ya kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Ingia mchezoni www.meridianbet.co.tz
Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.
Ligi mbalimbali Duniani zimeisha zimebaki chache amabzo nazo pia zinaelekea ukingoni, kwahiyo kama bado unajiuliza utabashiri wapi na kupata pesa suluhisho lipo Meridianbet wajanja wa ODDS KUBWA lakini pia michezo ya kasino ya mtandaoni ni mingi sana kama Aviator, Keno Sloti Pokker na mingine kibao.
Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.
NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#
#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE