The House of Favourite Newspapers

Meridianbet Yatoa Msaada Siku Ya Mama Duniani mji mwema Kigamboni

0

Kauli pekee ambayo unaweza kutumia ni kua furaha imetawala siku ya kina Mama duniani eneo la Kigamboni, Kwani mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet ndio waliofanikisha furaha hiyo kwa kutoa msaada katika eneo hilo

Imekua utamaduni kwa magwiji hao wa michezo ya kubashiri wamekua wakijitahidi kurudisha kwenye jamii yao na Mei 11, 2024 wamefanikiwa kutoa msaada wa chakula na vitu vingine, Wamefanikiwa kutoa Sukari, Mafuta, Mchele, Unga, lakini kuna Sabuni na khanga.

Kampuni hiyo imekua ikihakikisha wanakwenda kusaidia watu ambao wana uhitaji mkubwa katika jamii yao, Huku ikiwa ndio sababu ya wao kufika katika Zahanati hiyo inayopatikana mji mwema Kigamboni na kutoa msaada katika siku ya kina Mama.

Muwakilishi wa kampuni ya Meridianbet katika tukio hilo bwana Abubakar Kulindwa alipata nafasi ya kuzungumza na kusema “Sisi kama taasisi tumekua tukiguswa mara nyingi na changamoto ambazo zimekua zikiikabili jamii yetu inayotuzunguka na ndio sababu kubwa ya sisi kupata msukumo wa kufika hapa leo na kutoa msaada huu haswa katika siku kubwa kabisa ya kina Mama duniani”

Suka mkeka wako kwenye michezo mikali ya itakayopigwa katika ligi mbalimbali barani ulaya leo Jumapili. Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.`

Haikuishia hapo kwani kwani muwakilishi wa Zahanati hiyo alipata nafasi ya kuweza kuzungumza machache na zadi ilikua ni shukrani ambayo aliitoa kwa taasisi hiyo kwakua na moyo wa kurudisha kwenye jamii yake mara kwa mara kwani sio taasisi zote zinakumbuka matatizo yanayoikumba jamii yao.

Mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet leo wamefika Kigamboni kwenye Zahanati inayopatikana Mji mwema na kutoa msaada wa vitu mbalimbali katika siku ya Mama duniani. kwa wale wa USSD na  vitochi pia, *149*10#. #meridianbettz #kasinoyamtandaoni #slotimachine #ushindimkubwa #titanroulette  # oddskubwa

Leave A Reply