The House of Favourite Newspapers

Meridianbet Yatoa Msaada wa Vyakula Chamazi

0

Kama ilivyo ada wakali wa michezo ya ubashiri mtandaoni, Meridianbet wamewafikia wakazi wa Chamazi Mbagala na kutoa msaada wa mahitaji ya nyumbani, ambayo ni vyakula.

Meridianbet wameamua kuadhimisha siku ya wajane ambayo hufanyika kila tarehe 22 Juni kwa kutoa msaada wa vyakula ikiwemo Mchele, Unga wa ugali na unga wa ngano, mafuta, na mahitaji mengine ya usafi ikiwemo sabuni.

Ndugu mteja mjane ni mwanamke ambaye kafiwa na mume wake hivyo kwa jamii nyingi za kitanzania wajane wengi baada ya kuondokewa na mume wake huanza kuhangaika na maisha magumu na wengine hujikita kwenye shughuli ndogo ndogo kuendesha maisha yao.

Hivyo wakali wa ODDS KUBWA Tanzania wakaona isiwe tabu ngoja wafike Chamazi ili kuwashika mkono wajane hao ambao wana hali ngumu ya maisha kwani kurejesha kwa jamii ndio desturi ya Meridianbet.

Na wewe unaweza kupiga pesa leo hii kwa kubashiri mechi zinazoendelea Duniani kuna EURO na COPA AMERICA ambazo hizi zote zinakupa nafasi ya wewe kuwa Milionea. Vilevile unaweza kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Aviator, Poker, Roullette, na michezo ya Sloti.

Meridianbet baada ya kufika eneo la kutoa msaada walipokelewa vizuri mno na kina mama hao na waliwashukuru sana kwa kuwapelekea msaada wa vyakula ambavyo vitawasaidia kusukuma miezi.

Ndugu mteja kumbuka kubashiri mechi ya hatua ya 16 bora leo kati ya Uingereza dhidi ya Slovakia ambapo Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda Southgate kwa ODDS 1.42 kwa 8.82. Beti hapa.

Pia wajane hao walishukuru mno kwa kutembelewa na Meridianbet huku wakiwaomba kuwa warejee tena kutoa msaada wa vitu vingine kwani baada wanahitaji kushikwa mkono kwenye mambo mengi ikiwemo malazi.

Kutoa ni moyo na sio utajiri, nao wababe wa ubashiri, waliahidi kurejea tena wakati mwingine kwani zoezi la kurejesha kwa jamii kwao ni kawaida na hufanya mara kwa mara kila mwezi.

 

Leave A Reply