The House of Favourite Newspapers

Meridianbet Yawapa Wateja Bonus ya 20% kwa Miamala ya Mix by Yas

Meridianbet sasa wameamua kuipa thamani kubwa miamala yako unayoifanya kila siku kupitia Mix by Yas. Wateja wote wa Meridianbet wanaoweka pesa kupitia Mix by Yas sasa watapata bonus ya 20% ya kiasi walichoweka wakiweka pesa kwa mara ya kwanza kila siku. Ofa hii inatarajiwa kufika mpaka shilingi 50,000 kwa siku na inatarajiwa kutamatika Disemba 31, 2025.

Ili kuipata bonus hii baada ya kuweka pesa kupitia Mix by Yas, mteja atatakiwa kukitumia kiasi alichokiweka mara mbili kubashiri michezo ama kucheza kasino mtandaoni kwa siku hiyohiyo.

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Endapo mchezaji ataamua kulitumia dau lake kwenye ubashiri wa michezo, tiketi itakayohesabika ni ile inayomalizika ndani ya siku hiyohiyo na iwe na jumla ya odds kuanzia 3 na Zaidi. Tiketi zilizofanyiwa cash out hazitohesabika kama sehemu ya idadi ya tiketi za rollover. Kwa upande wa kasino mtandaoni, zitahesabiwa kwa michezo ya mashine ya kasino ambayo itakua imefanyika siku hiyohiyo uliyoweka dau lako kupitia Mix by Yas.

Mbashiri wa michezo ataweza kuitumia bonus yake kwenye tiketi ya mechi nne pekee na mechi hizo inabidi ziwe na odd ya 1.5 ama Zaidi. Na malipo ya juu Zaidi kwa kila tiketi inayotumia bonus yatakua ni shilingi 100,000.

Mteja wa Meridianbet atapata bonus kwa kile kiwango cha kwanza pekee kwa kila siku, na ni lazima awe ametumia bonus za nyuma zote kabla ya kupewa bonus mpya. Fanya miamala ya Meridianbet na Mix by Yas leo na ufurahie thamani ya pesa yako Zaidi.