The House of Favourite Newspapers

Messi, Ronaldo, Nani Mbabe wa Kuamua Mechi Uwanjani?

0

Wakati kukiwa bado kuna mjadala unaoendelea juu ya nani alistahili kutwaa Ballon D’or ya mwaka huu 2023, kuna baadhi wanasema Erling Haaland alipaswa kupewa lakini kuna watu wanashikilia msimamo na kusema Lionel Messi amestahili kutwaa kwa sababu ameshinda Kombe la Dunia 2022.

 Ni zama zao zinaenda mwishoni na utawala mwingine unakuja, lakini swali la msingi hapa utajiuliza je, itakuja kutokea ushindani mwingine wa Messi na Ronaldo? Mastaa hawa wamewapa watu hela nyingi sana za bashiri ikiwemo wengi wanaobashiri na mabingwa wa odds kubwa Meridianbet.

Leo nakutajia wachezaji wenye tuzo nyingi za Man of the Match (MM) kuanzia mwaka 2009 mpaka sasa, ambapo wengi wao wanaendelea kukiwasha na kusambaza upendo wa pesa za kutosha kwa wanaobashiri na Meridianbet.

Ukiwa na Meridianbet unajihakikishia odds kubwa, Turbo Cash out, machaguo mengi, ushindi mkubwa kwa dau dogo ukibashiri na kitochi, pamoja na michezo mingi ya kasino mtandaoni.

 

  1. Harry Kane 79 Mechi 383.

Moja kati ya mshambuliaji tegemezi wa timu ya taifa ya Uingereza na Bayern Munich akiwa mchezaji kinara wa mabao kwenye klabu yake, Harry Kane ametwaa tuzo hiyo mara 79 kwa mechi Zaidi ya 383 tangu mwaka 2009.

 

  1. Robert Lewandowski 86.

Tangu mwaka 2009 michezo yote aliyocheza Lewandowski zimemfanya kuwa Mchezaji bora wa mechi mara 86, msimu uliopita alikuwa mfungaji bora wa LALIGA akiwa na mabao 21. Unaweza kumbetia Lewa idadi ya magoli atakayofunga kwenye mechi husika, chaguo hili unalipata Meridianbet na linakuwa na odds kubwa sana.

 

  1. Neymar Jr 87

Ni mmoja kati ya wachezaji wenye uwezo mkubwa uwanjani, hakika hachoshi kumtazama akiwa na mpira, aiwa na umri mdogo tu alianza kung’ara duniani na sasa yupo Uarabuni katika klabu ya Al Hilal. Ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mechi mara 87 tangu mwaka 2009.

 

  1. Eden Hazard 100

Huenda stori yake ya mpira imemalizika vibaya tofauti na matarajio ya wengi. Hazard majeraha yamemfanya kutundika daluga zake na kuachana kabisa na masuala ya kucheza soka la ushindani, lakini sio hivyo tu bali katika mechi zake alizocheza kuanzia 2009 mpaka anastaafu amefanikiwa kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mechi mara 100.

 

  1. Zlatan Ibrahimovic

Aliwahi kunukuliwa akisema kwamba kama sio soka angekuwa mcheza karate kwani ni mchezo anaoupenda. Mshambuliaji huyu ametunukiwa tunzo hii mara 116 kwa mechi alizocheza kuanzia mwaka 2009. Meridianbet wanakwambia unaweza kuweka rekodi kama ya Zlatan endapo utachagua odds kubwa kwenye jamvi lako kuelekea mechi za kimataifa na ligi mbalimbali.

 

  1. Cristiano Ronaldo.

Nahodha wa timu ya taifa ya Ureno na klabu ya Al Nassr ya Saudia moja kati ya wachezaji wanaofanya vizuri sana na dunia haiwezi kuwasahau kwa mafanikio yake kwenye soka, ana mataji 35 na Ballon D’or 6.

Ronaldo amewaa sana watu hela za kubeti kwa magoli yake na bila shaka anaendelea kuwafurahisha wengi, ametwaa tunzo hii mara 117 akiwa na rekodi ya ushindi wa UEFA Champions League mara 6. Nani mwingine kama Ronaldo?

 

  1. Lionel Messi

Lionel Messi wengi humuita Lapulga ana kipaji cha mpira, hachoshi kutazama na katika ubora wake alikuwa ana uwezo wa kukufunga bao la aina yeyote na akafanya chochote katika mazingira usiyotarajia.

Ana mataji mengi Zaidi ya Ronaldo akiwa nayo 44 ikiwemo kombe la dunia 2022. Licha ya hilo ndiye mchezaji anayeongoza kwa tunzo za mchezaji bora wa mechi akitunukiwa mara 306 katika michezo Zaidi ya 584.

 

NB: UNAIJUA NGUVU YA JERO PALE MERIDIANBET, IKO HIVI KWA JAMVI LAKO LA JERO TU MWEZI HUU WA NOVEMBA LINAWEZA KUKUPATIA BAJAJI MPYAA. PROMOSHENI IMEKWISHA KUANZA NA ITATDUMU KWA MWEZI MMOJA TU, WAHI NAFASI YAKO.

 

Leave A Reply