The House of Favourite Newspapers

Meya Iringa Anaswa na Takukuru Akipokea Rushwa

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imemkamata Meya wa Manispaa ya Iringa, Alex Kimbe (CHADEMA), kwa tuhuma za kupokea rushwa.

Kimbe alikamatwa jana Alhamisi, Novemba 15, katika Hoteli ya #GentleHills baada ya kuwekewa mtego na kunaswa akipokea rushwa.

EXCLUSIVE: Sapraizi ya AY na King Kikii ni Habari Nyingine

Comments are closed.