The House of Favourite Newspapers

Meya Jiji La Arusha Kujenga Makazi Ya Kisasa Ya Watoto Wa Mtaani-Video

0

Mstahiki Meya wa jiji la Arusha, Majimiliani Iranqe, ameanza kutekeleza adhima yake ya kuwajengea makazi Watoto wa Mtaani waliopo katika jiji la Arusha ikiwa ni ndoto yake ya muda mrefu kuwasaidia watoto hao ili waishi vizuri kama watoto wengine waliopo majumbani na kuwapunguzia ukali wa Maisha…

Leave A Reply