The House of Favourite Newspapers

Mfahamu Mwami Ndeze; Mfalme Pekee Muhutu Aliyelinda Amani Ya Rutshuru Wakati Congo Yote Ikiwaka Moto – Video

0

Sikuwahi kujua kama ndani ya Congo DRC kuna mji watu wanaongea Kiha kabisa kama cha watu wa Kibondo Kigoma, sema wenyewe wanakiita Kinyabwisha. Nimekuja kujua baada ya Fikiri mtoto wa DRC aishie nchini Australia kunisimulia Habari za Mwami Ndeze.

Congo kila mtu anaijua. Zamani iliitwa Zaire, nchi yenye raha na maraha, nchi ya wasakata rumba na wala bata, watu wa Zaire tuliwaitwa wazairwaa, very smart, weupe, wanajipenda, walinukia marashi murua, hakika kila mtu alipenda Kwenda Zaire.

Leo hii ukitaja Congo, picha inayogonga ndani ya vichwa vya watu wengi ni machafuko! Yaani watu wanajua muda wote kule watu …

MAKALA HAYA YA KUSISIMUA YA DENIS MPAGAZE.

Leave A Reply