Mfahamu Nelson Mazola: Jambazi Aliyeokoka Na Kugeukia Uigizaji -Video

KIJANA Nelson Mazola, 33, ambaye ni raia wa Afrika Kusini ambaye stori ya maisha yake imewagusa wengi baada ya kuweka wazi kuwa alijiunga na makundi ya ujambazi akiwa na umri wa miaka 16 tu.

 

Baadaye aliamua kuachana na maisha hayo hasa baada ya kifo cha mama yake na kubadili mfumo mzima wa maisha na ndipo alipoanza kuonesha uwezo vipaji vyake hadi kufikia kuwa muigizaji mkubwa nchini humo. Nelson Mazola ametrend sana kwenye mitandao ya kijamii baada ya watu wengi kutumia vituko vyao kama vibonzo.

 

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Toa comment